Niwape pongezi sana watu hawa

Niwape pongezi sana watu hawa

Jogoo mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
824
Reaction score
3,449
Heri ya nusu mwaka , ngoja niwape maua yao watu wafuatao 😂😂

Wanaume wote ambao wako kupambania familia zao no matter what!! Mungu awabariki sana

Wanawake wote masingle maza waliachiwa watoto ilihali wanasonga mbele na watoto wao, mbarikiwe sana

Vijana wooote ambao hawachagui kazi wanapambana kwa kazi yeyote halali kujipatia kipato kuliko kubweteka home au kwa shemeji. Hongereni sana

Wanaume wote ambao wameweza kutuliza wake zao kwa kuwanyandua na mahitaji yao nyumbani,pia nyie hongereni mnoo 😂😂

Wanawake woote ambao wanavumilia changamoto za waumezao kwa kutetea muktabadhi wa watoto wao!! Pongezi kwenu💪

Mashujaa wote ambao hawaishi kwa uchawa wa kuvua utu wao chini. Hakika pongezi kwenu🤝

Wote ambao hawaendeshwi na nyege umiza katika maisha yao. Hongereni sana hakika nyege si kitu😂

Wanawake wote wapambanaji wasiosubiri pesa za manyanyaso na masimango kutoka kwa wanaume.

Wote ambao hawaishi kwa kubembeleza sana mtu aendelee kubaki katika maisha yao wao wako tayari mwache aendee. Hongereni sana kweli acha akwendee

Wote ambao......
 
Back
Top Bottom