Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeshindwa kuelewa hiyo lugha mkuu......jitathimini.Sasa tukueleweje mkuu, ulichokiandika ukikisoma unakielewa?
Wewe ndiyo ujitathimini, wameongezewa ada kivipi? Bodi ya mikopo inaweza vipi kuongeza Ada ya kozi kwani wao wanahusika na kupanga ada ya kozi kwenye vyuo husika. Acheni ujuaji unatoa taarifa Kama Kila mtu yupo huko chuoni,Kama umeshindwa kuelewa hiyo lugha mkuu......jitathimini.
kuna sehemu pameandikwa ada ya kozi hapo??.......kazi ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu unaijua??Wewe ndiyo ujitathimini, wameongezewa ada kivipi? Bodi ya mikopo inaweza vipi kuongeza Ada ya kozi kwani wao wanahusika na kupanga ada ya kozi kwenye vyuo husika. Acheni ujuaji unatoa taarifa Kama Kila mtu yupo huko chuoni,
taarifa haijakamilika ina hang. kimsingi ulivyomjibu first commentor kidogo umenipa mwanga.Wewe ndiyo ujitathimini, wameongezewa ada kivipi? Bodi ya mikopo inaweza vipi kuongeza Ada ya kozi kwani wao wanahusika na kupanga ada ya kozi kwenye vyuo husika. Acheni ujuaji unatoa taarifa Kama Kila mtu yupo huko chuoni,
Ulipata asilimia ngapi pia acha matusi Mimi naweza kukusaidia ukapata hata kitu kidogo.Wewe ni pimbi kabisa watu tuko vyuoni mwaka wa pili tumekosa mkopo alafu unaleta mapambio au kwavile ndugu yako kapata acheni kusifia ujinga
Bodi ya mikopo siku hizi ndio wanatoza ada, halafu na wewe unapongeza?!Kwa hili acha niwapongeze Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu kwa kuwaongezea ada hawa wadogo zetu huko vyuoni maana hali ilikuwa mbaya sana.
Na nyie wanafunzi someni sasa acheni anasa.
ASANTE.
Kibaya zaidi wanabishana bila tija, bora bando lipandishwe bei maradufuMadhara ya shule za kata sasa ni wazi wazi
Hua inaendaga na upepo wa watu sio kila mwaka kuna fursa,Dah nimesoma 3 years bila mkopo wala harufu ya mkopo , jwa shidaaaa bin shidaaaa taaaabani afuuu hizi now ndo nasikis dah si ni bora wangenia tuu hata M.A. Na mimi nikafaidi life la chuo kikuu nikila vya kuliwa
Umesaidia wangapi mkuu mbona Kama unajifagilia kwenye hamnaUlipata asilimia ngapi pia acha matusi Mimi naweza kukusaidia ukapata hata kitu kidogo.
Wewe hauna Adabu that way Huwezi pata msaada kirahisi enddelea kukosa adabu hivyo hivyoUmesaidia wangapi mkuu mbona Kama unajifagilia kwenye hamna
Kwani mkuu huko mnatumia vigezo gani maana hatuelewi kabsa..Ulipata asilimia ngapi pia acha matusi Mimi naweza kukusaidia ukapata hata kitu kidogo.
Mimi sipo Helsb hila naweza kukupa Mwongozo ukapata msaada zaidiKwani mkuu huko mnatumia vigezo gani maana hatuelewi kabsa..
Maisha yanatupiga huku
Kwa kiasi Fulani nilijua ni wajuaji tu wa jamii forum ndg ndo maana nilikujibu hivo sio kwamba Sina adabu Ila tuna kuwa tunakatishwa tamaa tukiamini ni yaleyale Ila Kama kuna njia mbadala nisaidie maana nilijua najibizana na Rika langu nimejikuta natamani huo msaadaMimi sipo Helsb hila naweza kukupa Mwongozo ukapata msaada zaidi
Mkuu samahani, hivi kwa mfano ukiwa umezidi miaka 35 na ni mtumishi wa serikali ukawa unataka kujiendeleza chuo kikuu, Unaweza kupata mkopo kweli?? Au Awamu hii ya mama imeondoa hivyo vigezo vya umri na utumishi wa umma?Mimi sipo Helsb hila naweza kukupa Mwongozo ukapata msaada zaidi