Niwapongeze Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu kwa kuwaongezea ada hawa wadogo zetu huko vyuoni

Niwapongeze Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu kwa kuwaongezea ada hawa wadogo zetu huko vyuoni

Mkuu samahani, hivi kwa mfano ukiwa umezidi miaka 35 na ni mtumishi wa serikali ukawa unataka kujiendeleza chuo kikuu, Unaweza kupata mkopo kweli?? Au Awamu hii ya mama imeondoa hivyo vigezo vya umri na utumishi wa umma?
Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu.
 
Back
Top Bottom