bakundande jr JF-Expert Member Joined Oct 22, 2021 Posts 507 Reaction score 672 Jan 25, 2023 #21 HAYA LAND said: Mimi sipo Helsb hila naweza kukupa Mwongozo ukapata msaada zaidi Click to expand... Nisaidie huo muongozo kiongozi
HAYA LAND said: Mimi sipo Helsb hila naweza kukupa Mwongozo ukapata msaada zaidi Click to expand... Nisaidie huo muongozo kiongozi
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 26, 2023 #22 bakundande jr said: Nisaidie huo muongozo kiongozi Click to expand... Njoo pm nikupatie maelekezo na namba ya kiongoz wa hapo bodi.
bakundande jr said: Nisaidie huo muongozo kiongozi Click to expand... Njoo pm nikupatie maelekezo na namba ya kiongoz wa hapo bodi.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 26, 2023 #23 G.T.L said: Mkuu samahani, hivi kwa mfano ukiwa umezidi miaka 35 na ni mtumishi wa serikali ukawa unataka kujiendeleza chuo kikuu, Unaweza kupata mkopo kweli?? Au Awamu hii ya mama imeondoa hivyo vigezo vya umri na utumishi wa umma? Click to expand... Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu.
G.T.L said: Mkuu samahani, hivi kwa mfano ukiwa umezidi miaka 35 na ni mtumishi wa serikali ukawa unataka kujiendeleza chuo kikuu, Unaweza kupata mkopo kweli?? Au Awamu hii ya mama imeondoa hivyo vigezo vya umri na utumishi wa umma? Click to expand... Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu.
Momazi Member Joined Jan 5, 2023 Posts 48 Reaction score 54 Jan 26, 2023 #24 HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... 0747195033
HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... 0747195033
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,254 Reaction score 2,519 Jan 28, 2023 #25 HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... Nimekusoma mkuu wangu
HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... Nimekusoma mkuu wangu
Z zaynisha New Member Joined Aug 4, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Aug 5, 2023 #26 DR HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... Mkuu samahan, naomba mwongozo maan nimepitisha miaka 6,na hapo wanatak miaka 5
DR HAYA LAND said: Unaweza Kupata lakini Kama utatumia mbinu mbadala nadhani umenielewa Mkuu. Click to expand... Mkuu samahan, naomba mwongozo maan nimepitisha miaka 6,na hapo wanatak miaka 5