Niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Wazeee sina mengii nachotaka niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school jinsi ilikuwaga.
Hapa ni bongo watu wapo darasani, nachocheka angalia vichwani mwao hao wanafunzi wana mawe ili asiangalie gear akati anaweka.

Nani alijifunza hibi gari?
 
Mwalimu ana filimbi begani
 
Wanafunzi wa nyuma na mbele wote wamekaa kwa mpangilio wa kumwona Mwl, hakuna mwanafunzi anayemtazama mwenzake mgongoni
 
Afu ukiangalia pemben kuna msimamizi kabisaa! Sasa ole wako ukutwe na jiwe lingine kwenye droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…