Niwarudishie ma " x " wangu mali zao walizoacha geto ? Nibaki navyo au nivitupe?

Niwarudishie ma " x " wangu mali zao walizoacha geto ? Nibaki navyo au nivitupe?

Joined
Jun 16, 2024
Posts
45
Reaction score
56
20240707_094452.jpg
 
😂 unapojiita komeo la chuma kwani wewe ni komeo kweli

Same to me nnapojiita mwanafunzi sio kwamba ni mwanafunzi

Kiukweli ni baada ya kuingia kwenye chumba cha mtoto wangu nmekuta

Si sababu ya jina. Ulichoandika ni jambo la kitoto la wanafunzi wa kidato cha 1 au 2
 
Back
Top Bottom