Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Sio nukuu za moja kwa moja ila nilichoelewa mimi:
1. Kasema tunatarajia kupandisha mshahara kwenye bajeti ijayo.
Uelewa wangu: Bajeti ya 2021/2022 means inayojadiriwa sasa.
2. Mwakani nitakuja na package nzuri.
Uelewa wangu: Kwa bajeti ya 2022/2023
3. Nimeshindwa kuongeza mshahara.
Uelewa wangu; July kuna increment itakayofidia increments zilizoporwa 2015 to 2020.
5. Tumeamua kuondoa 6% ya deni kwa wadaiwa wa HESLB
Uelewa wangu: Riba imeondolewa hivyo mnufaika atalipia kile alichopewa. Deni la kwenye salary slip ndio deni halisi.
Note: Upepo unaweza kuwa mzuri tukashangazwa hapo July, mama ni mama anaweza kufanya top up yakufa mtu July.
Zingatia suala la kupandisha mshahara kuna watu linawagusa moja kwa moja katiza chanya na wengine huwagusa katika hasi. Hivyo kulitangaza kunaweza kuwa kuzuri ama kubaya kwa namna fulani, so let us wait and see July is coming. Ninayo imani na Rais na ameiona dissappointment kubwa ya watumishi.
La mwisho na kwa umuhimu; mama ameongea kwa ustaarabu sana na kwa ukweli kuhusu uchumi, sema tu watu hawakuwa wameujua ukweli wa uchumi wetu kabla, tulidanganywa sanaaaaaaaa, kumbe ulishuka.