Niwatahadharishe ACT kwamba mwaka huu CCM wanakabia kwa juu kule Zanzibar

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua.

CCM wamepanga yafuatayo.

1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT.

2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar.

3. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea uwakilishi wote wa ACT Zanzibar.

4. Kutumia siku mbili ipasavyo kwa ajili ya kupiga kura. Siku ya kwanza ni kwaa jili ya wanajeshi, polisi, magereza, KMKM nk na siku ya pili ni Kwa ajili ya wananchi wote.

ACT jiandaeni kwa mapambano na tatizo ni kwamba mnachukuliwa kama CCM b hivyo hata mkionewa hakuna anayejali. Take care
 
Nilishangaa sana Maalim Seif Kujiunga ACT
 
Ni kama CCM Zanzibar hawataki serikali ya nusu mkate, so ina make sense kwamba watatafuta namna ya kuwavunjavunja
 
Back
Top Bottom