Nilishangaa sana Maalim Seif Kujiunga ACTACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua.
CCM wamepanga yafuatayo.
1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT.
2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar.
3. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea uwakilishi wote wa ACT Zanzibar.
4. Kutumia siku mbili ipasavyo kwa ajili ya kupiga kura. Siku ya kwanza ni kwaa jili ya wanajeshi, polisi, magereza, KMKM nk na siku ya pili ni Kwa ajili ya wananchi wote.
ACT jiandaeni kwa mapambano na tatizo ni kwamba mnachukuliwa kama CCM b hivyo hata mkionewa hakuna anayejali. Take care
Kwani maalim na Mwamba walikuwa na mwajiri tofauti? 😂✔️Nilishangaa sana Maalim Seif Kujiunga ACT
Nilishangaa sana Maalim Seif Kujiunga ACT
Ni kama CCM Zanzibar hawataki serikali ya nusu mkate, so ina make sense kwamba watatafuta namna ya kuwavunjavunjaACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua.