Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

sijaliona katika list yao ila ndo yakwanza watatoa nyingine siku za karibuni tukumbushane tuu kupitia PM
Your the best thanks MAULACLEVER PAUL ANTON Female S0243/0008/2007 Bachelor of Arts in
Community Development University of Iringa
Kuna mtu nilimuombea ISW, TCU wanasema kapata na kwenye account yake NACTE wanasema selected/not yet confirmed. Nimeona majina ISW lakini lake halionekani. Nimeshindwa kumuambia, alishakuwa na matumaini makubwa ya kuanza chuo mwaka huu
Asubiri batch nyingine mkuu,kama hayupo aende mpaka hapo chuo then watawasiliana na nacte&tcu kuona tatizo lipo wapi
Asubiri batch nyingine mkuu,kama hayupo aende mpaka hapo chuo then watawasiliana na nacte&tcu kuona tatizo lipo wapi
Yap,tusubiri mkuuNimemuambia afanye hivyo, ila nimeangalia sasa hivi kwenye account yake imeandika selected. Mara ya kwanza aliandikiwa selected/not yet confirmed. Ngoja tusubiri majina mengine huku akienda kuulizia chuo husika
Ndugu hebu tusaidie fb page ya nacte kuna tangazo linalosema kunamajina 3000+ waliopangiwa vyuo ila kwavile wengine hawajareset wanaweza kufanya transfa bure na kuna majina 1000+ hawapangiwa kutokana na sababu mbalimbali, kama unaweza tunaomba uyaweke hapa maana simu haziwezi kuona. Thanks