Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

Huo mtihani mkubwa, maana kuona mwanamke kwa macho yako mwenyewe kabla ya kuamua ni muhimu Sana, kama kuja imeshindikana basi washirikishe jambo hilo ndugu zako wa karibu Sana, wakupe japo wasifu wa msichana wakutumie picha za kutosha, kama anakuridhisha omba mawasiliano naye, muanze kuwasiana, katika mawasiliano naye, unaweza japo kumfahamu kwa asilimia chache ambazo zitakusaidia.
Iko Powa hii
 
Mbona kama umevutika friend?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kanchekeshaaa sanaaa.... kaamua mambo yote yawe wazi,, ila mambo ya msingi ajaweka vizur... ana hela au mbabaishaji tuu majuu,, mtu atoke huku na uLenny wake akaungane na hali ngumu uholanzi!!! aeleze nayeye ako na maisha gani aisee
 
So lazima kujiexpose kwa mwanzo
 
Shape hizi lazima umpokonye mtu , lakini kupata ambaye yupo single sio rahisi ?
 
Mkuu una
Hello habari zenu

Sitazunguka sana naenda moja kwa moja kwenye point

Kwa walio serious tu plz

Mi ni kijana wa miaka zaid ya 30
Ninaishi Netherlands muda huu
Nimetamani sana kuoa mtanzania lakin imekuwa ni ngumu kutokana na kwamba siishi huko, na mazingira ya ku interrupt yameishindikana,
Nina hitaji mke wa kuoa maana nikiyekuwa naye tumezinguana na nimeshapoteza muda wangu juu yake, na umri wangu nataka kuoa, I can't wait any more, natarajia kuoa mwakani mwezi wa 12,

Sifa na aina ya mwanamke nayemtaka
1.Awe Mkristo
2. Awe na umri 24+
3. Shule haina umuhim sana ila awe angalau amemaliza cheti na kuendelea
4. Awe natural niwaweke wazi sipendi wanawake wanaojichubua.chubua na kujifanya editing,

5. Hasiwe na mtoto kabisaa
6. Najua atakuwa na boyfriend lakin awe na uwezo wa kumsahau awapo na mimi,

7. Awe anaishi na ndugu zake , wanawake wengi wanaopanga wenyewe hasa maeneo ya sinza na kwingineko ni hatari mno, naongea kutokana na experience,

8. Awe na uwezo wa kuchanganua maisha na hali kulingana na muda,

9. Awe anatoka katika makabila yafuatayo
A.Muhaya
B. Msukuma
C. Mhangaza
D. Mnyarwanda

10. Awe na pass ya kusafiria au awe na vigezo vya kupata pass ya kusafiria,

11. Awe tiyari kupima afya na kizazi

12. Sitaki mfupi sana wala mwembamba mno au mnene sana yan awe saizi ya kati,

Mwonekano wake sample nazopenda

View attachment 754998 View attachment 754999 View attachment 755000 View attachment 755001 View attachment 755002
chagua sanaaa.
 
kanchekeshaaa sanaaa.... kaamua mambo yote yawe wazi,, ila mambo ya msingi ajaweka vizur... ana hela au mbabaishaji tuu majuu,, mtu atoke huku na uLenny wake akaungane na hali ngumu uholanzi!!! aeleze nayeye ako na maisha gani aisee
Waeza kuta na yeye hana anatafuta mlezi. Mambo ni mengii

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Aisee wenye shape zao
417736_262683613837237_1287386094_n.jpg
 
Back
Top Bottom