Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

Hivi single mothers tulikukosea nini? Unaonekana una hasira sana sisi. Fungua moyo wako na sisi ni binadamu na wanawake kama hao ambao hawana watoto.
Hebu leta ushahidi wa sehem niliyosema single mothers vibaya....au kuna sehem nilishakusema ww kuwa single mother ni tatizo?
 
somalia, ethiopia au kwa kagame...huku bongo wapo ila tayari maninja, anaweza kuja huko, we ukarudi ye akabaki.
 
Hebu leta ushahidi wa sehem niliyosema single mothers vibaya....au kuna sehem nilishakusema ww kuwa single mother ni tatizo?
Sijasema mimi nimesema single mothers wanakukera nini. Ushahidi kutafuta muda unakaba ila huwa una issue na single mothers.
 
Sijasema mimi nimesema single mothers wanakukera nini. Ushahidi kutafuta muda unakaba ila huwa una issue na single mothers.
Issue gani si ndio uiseme hapa...wapi nmesema vibaya kuhusu single mothers
 
Yaan unaishi majuu unakosa demu ,ndio maana kuna vichaa humu kumbe maisha ya nje ni wapweke sana
Wenye bahati zao mkuje muwe na kichura ee
Inawezekana maisha anayoishi huko ni sawa na mpiga debe wa daladala tz!!!!
 
Hauwezi ukawa serious kwa kweli
 
Hivi mbona wengi wanatafuta wake humu ina maana wengi ni yatima hawana hata wa kuwasaidia?
Nawaombea kila mmoja apate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…