STRAGGLE MAN
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 698
- 613
Yani tunarudishwa enzi za ujima
Mwambieni mtafuta mchumba ameshapata atoe kigezo cha ukabila tu anichukueSipatii picha nahisi kuumwa
Ahahahah we kabila gani?Mwambieni mtafuta mchumba ameshapata atoe kigezo cha ukabila tu anichukue
Acha na mm nikwende abroad jamani kabila langu nikilitaja si anaweza akanitosa mbele za watu ebu nipigieni debe niwatumie zawadiAhahahah we kabila gani?
Sasa tutamtajia kabila gani?Acha na mm nikwende abroad jamani kabila langu nikilitaja si anaweza akanitosa mbele za watu ebu nipigieni debe niwatumie zawadi
Natokea tanga jamani me msambaaSasa tutamtajia kabila gani?
Ehehehehej yaan hapa achukue mke kabisa mapenzi yalipozaliwaNatokea tanga jamani me msambaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ehehehehej yaan hapa achukue mke kabisa mapenzi yalipozaliwa
MhMwambieni mtafuta mchumba ameshapata atoe kigezo cha ukabila tu anichukue
SawaaAje aseme View attachment 755901
Hehe kumbeSasa Jamaa akipatikana uniambie niwatafutie na ka house girl ka dizain hyo
Mkuu vipi tena jamani