Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

Mkuu fahari ni ng'ombe dume...
Ndio nafahamu mkuu sema nimewasilisha kama kutoa mfano kwamba "hatuwezi kuwa na mfanano wa pamoja wakati tuko tofauti huku nikijua kabisa wewe siyo ndugu yangu lazima nikukosee heshima nitakufanya unione mbaya ili niwe salama kwa tamaa yangu
 
Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja.

Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha hiyo sitataka mazoea kabisa, hakunaga urafiki wa mke na mume.

Wanaume sisi tunajua tabia zetu hivyo mtu akisema sisi ni marafiki tu ukiamini, anaweza akawa anatumia urafiki huo akiwa na malengo yake siyo sawa kabisa kwamba mwanaume na mwanamke wanaweza kuwa na urafiki kwa muda mrefu hasa wale waliopo kwenye ndoa.

Kuna muda itafikia ataona kama anaweza kufikia mpaka Langoni hivyo anajaribu bahati yake, na ogopa mtu huyu akifika hatua hii na uliamini ni rafiki tu utajuta aisee.

Haya ni maoni yangu siyo sheria kwamba kila mtu yuko hivi.
mm pia✅
 
Kufupisha stori yako ungepaswa kuandika kuwa wewe ni bahili kwa wanawake basi tungekuelewa mapema. Umejitahidi kuzunguka sana mkuu kuandika ujumbe wako
Na kweli amabao hawana zawafi za kuwapa ndio hivo na mademu hawana habari nao
 
Back
Top Bottom