Niwe mkweli tu mfano niwe Rais Sasa hivi, Zanzibar ningeifanya hivi

Niwe mkweli tu mfano niwe Rais Sasa hivi, Zanzibar ningeifanya hivi

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
  • Ningeteneza uwanja Mzuri wa kimataifa wa ndege kuliko wa pale DXB.
  • Ningeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama Hyatt regency au Kama zile za Trump towers
  • ningeifanya Unguja na Pemba kuwa destination ya Sex Tourism 😎😎😋😋😋. Watu kutoka mataifa mbalimbali wangekuwa wana enjoy ladha halisi za African Ebony na yellow yellow damsels watoto Fulani hivi petite...o my gade😎😎😎🥸🥸.
  • Ningeteneza uwanja mkubwa wa mbio za magari ya formula one kwa ajili ya mashindano makubwa ya Dunia ya Grand prix.
  • Halafu nitengeneze kumbi kubwa za kimataifa kama Madison square Garden kwa ajili ya matamasha ya miziki, mashindano ya miss Dunia au hata uzinduzi wa filamu za kimataifa yaani Zanzibar international film festival (sio hizi filamu za hawa machangu wa bongo movie 😖😖).
  • Ningeteneza viwanja vya mashindano ya ndege ya redbull ♉ airshow ✈️ .
  • Ningewafanyia Masss evacuation kama wa Masai ...ningewahamisha na kuwapeleka huko kwa wapogoro na waluguri wakalime waache kukaa kizembe ...
  • Yaani kwa kifupi mimi ningeifanya Zanzibar kuwa Venice of East Africa dadeki...Sema nini hizi zinabaki kuwa wishful thinking zangu na fantasy tu 😇
 
Ningeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama Hyatt regency au Kama zile za Trump towers
Kuna mahotel makubwa kama kijiji kule Nungwi beach sijui ni ya nani
 
downloadfile-4.jpg
 
Back
Top Bottom