Kuna mahotel makubwa kama kijiji kule Nungwi beach sijui ni ya naniNingeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama Hyatt regency au Kama zile za Trump towers
Ni kweliMaybe ya watu walioko kwenye high establishment
Hakuna bahari!Kwa nini mambo yote hayo usingeyafanyia hapo morogoro?
Basi bagamoyoHakuna bahari!
Sawa mkuu!Basi bagamoyo