Niweke Mlango wa Nje? Inanitatiza sana

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
1. Mlango wa mbele ni mkubwa

2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali

3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na makelele ya funga-fungua?

4. Sometimes nafikiria kwa mbele niweke mlango wa mbao mkubwa halafu kwa ndani niweke zile grills za kufunguka pembeni kwa kujikunja. For security purposes



Inanitatiza, Mawazo tafadhali
 
Choose one, Grili au Mbao
 
Economic gap kati ya walionacho na wasionacho ime7bisha nyumba nyingi zinazojengwa cku izi kuwa kama Magereza aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…