Mkuu imarisha ulinzi kuzunguka nyumba. Weka fence ndefu,umeme juu ya fence,cctv camera basi. Pia unaweza kuweka mlinzi wa kampuni au kufuga mbwa. Ukifanya haya hutahitaji machuma mlangoni.Mkuu naomba kujua location ya fundi au duka wanayouza hiyo
Kuna security Doors hizi haziathiriwi na maji na moto. Hauna haja ya kuweka drill na mbao. Security doors zinakuwa fabricated na chuma kizito na kufanyiwa finishing ya hardwood.
Mlango 1 unaweza kuuziwa 1.5m mpaka 3m
Nimecheka sana😂Basi umaskini ni nusu ya kifungo
Au nakosea mummy...😅Nimecheka sana😂
mwanjelwa was necessary mkuu .?Kawadanganye boda boda wa kijiweni kwenu hapo soko la mwanjelwa
Yeahmwanjelwa was necessary mkuu .?
wizi unaendana kwa kiasi kikubwa na umaskini plus roho mbayaSheria kali hazimalizi wizi. Nchi za Scandinavia ukikamatwa mwizi unaweza kufungwa kifungo cha nje miezi kadhaa tu na wizi ni mara chache sana. Wizi ni hulka ya jamii husika tu na waafrika ndiyo wanaaongoza kwa kuiba.
umaskini tu kila mtu ni kibaka. unawekaje grill dirishani aha haha ulaya kwenye hayapoHivi aya mambo ya grill ata masaki yapo kweli?
1. Mlango wa mbele ni mkubwa
2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali
3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na makelele ya funga-fungua?
4. Sometimes nafikiria kwa mbele niweke mlango wa mbao mkubwa halafu kwa ndani niweke zile grills za kufunguka pembeni kwa kujikunja. For security purposes
View attachment 3582542
Inanitatiza, Mawazo tafadhali
Mbona China wanawekaga grili kwenye makazi yao na ni nchi ya pili tajiri?umaskini tu kila mtu ni kibaka. unawekaje grill dirishani aha haha ulaya kwenye hayapo
Hii hapa kwetu ipo au mpaka uagize huko kwa akina Jet lee?
Ipo mingi tu pale GerezaniHii hapa kwetu ipo au mpaka uagize huko kwa akina Jet lee?
Barikiwa mkuu!Nitapita hapoIpo mingi tu pale Gerezani
Ukipotea mchek huyu 0744 796 125Barikiwa mkuu!Nitapita hapo