Niweke Mlango wa Nje? Inanitatiza sana

Mna jenga uswahilini sana na nyie, yaani unashindwa kupendezesha nyumba ukihofia vibaka.
Mimi huwa nashindwa kuwaelewa WaTz, yaani mtu anatafuta kiwanja cha bei rahisi halafu anaenda kujenga nyumba ina thamani ya zaidi ya 50m.
 
Umeenda mbali sana, wizi ni hulka ya jamii husika, hapo visiwani tu Unguja zamani uilikuwa unalaza gari nje na asubuhi unalikuta halijaguswa! Siku hizi ukilaza gari nje ni pata potea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…