Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi.

Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe na ladha ya kuvutia sana. Mimi nikiandaa supu nachemsha nyama, karoti na wakati mwingine naweka na ndizi.

Niongeze kitu gani au nipunguze nini wakuu?

maxresdefault.jpg

Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi...

[emoji39][emoji39]nimeipenda
 
Beef/chicken cube
Pilipili manga
 
Kwani supu inaungwa?

Huo utakuwa ni mchuzi sasa na sio supu
 
hapo umetisha mbona unaweza add piilipili hoho kwa mbalii,,
 
Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi.

Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe na ladha ya kuvutia sana. Mimi nikiandaa supu nachemsha nyama, karoti na wakati mwingine naweka na ndizi.

Niongeze kitu gani au nipunguze nini wakuu?

maxresdefault.jpg

Tumia kitunguu thom,tangawizi,pili pili manga u will thank me later ukiwa na magic cube ongezea utajiramba[emoji39]
 
Back
Top Bottom