Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 372
- 1,042
Et kiingereza ukikibakaDuh Matairi tena kutoka kwenye Tiles uzuri kiingereza ukikibaka kinakuumbua muda huo huo 😂
Hatari na nusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Et kiingereza ukikibakaDuh Matairi tena kutoka kwenye Tiles uzuri kiingereza ukikibaka kinakuumbua muda huo huo 😂
Za kawaida tu hizi,kuna kipindi nilienda sehemu kikazi nikachukua makazi ya muda,nilikaa miezi sita...kila ninavoamka kitandani kuweka miguu chini ni shoti kabisaaina gan
Tuache utumwa wa akili, Kuna wazungu wengi tu wanaongea kiswahili kibovu ila sijaona mswahili wakikosoaDuh Matairi tena kutoka kwenye Tiles uzuri kiingereza ukikibaka kinakuumbua muda huo huo 😂
Sakafu yako inatumia magurudumu? Wacha Weeeeeh....Wakuu wataalam wa design
Hajakuuliza habari za tiles.Kuna tiles zinapiga short ukiwa peku,sijui ni mimi tu inanitokea
Ok sawa,kauliza tyres au sioHajakuuliza habari za tiles.
No hard feelings bro, lugha ni kiungo tu kwa pande mbili kuelewana kwa kile kichokusudiwa na mwasilishaji kwenda kwa msikilizaji/wasikilizaji. Lugha si shida kwangu kama maarifa unayo, ila tuseme ukweli tu mshkaji kavunja.Tuache utumwa wa akili, Kuna wazungu wengi tu wanaongea kiswahili kibovu ila sijaona mswahili wakikosoa
INi vyema ukaingia mtandaoni na kuona ni kwa namna gani unaweza balance rangi zako kwa hizo warm colours ( rangi zilizochangamka) niamini utajifunza mengi mkuu huko kwa hutua uliyoifikia, Hongera sana pia, sio rahisi 👏🏽Rangi ilochangamka
Exactly ila Nadhani shida inakua kwenye umemeKuna tiles zinapiga short ukiwa peku,sijui ni mimi tu inanitokea
YesOk sawa,kauliza tyres au sio
Sasa hv wengi wanazileta, ila zinaisha faster. Cheki na CTM, Twyford na hata Spanish tiles pia. Kwa urahisi wa bei Twyford ni rahisi kuliko hao wengine. Ukipata za 60*120 ndio zinapendeza sanahizi za wood nzuri ila huwa sizipat