Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu'
Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo nimebakiwa na milioni tatu.
Mgawanyo wa millioni tatu katika ufugaji wa nguruwe ni kama ifuatavyo;
-1.8million nijenge rumu moja ambayo haitamalizika nikimaanisha sitoweka sakafu wala kupiga plaster ndani nitamwaga zege tuu pamoja na kuziba madirisha kwa mbao aina ya kuezeka nitalaza tu bati ,choo nitagongea kwa jirani kwa muda uku nikiendelea kujitafuta mdogo mdogo.
- laki 3 nitatumia katika kujenga mabanda kwani mbao ninazo nanitayajenga mwenyewe.
- laki 4 nitanunua nguruwe ambae yupo tayari kubeba mimba(dume na jike).
- laki moja na nusu nitatenga katika kuwahudumia upande wa chakula. na madawa.
mambo mengine nitakua najiongeza kwani nitakua bado napambana upande wapili.
Idea ya pili ni duka la mahitaji madogo madogo ya nyumbani
Kwa upande wa duka nitawekeza millioni 2.3 tu
Naombeni ushauri kwa wataalamu