Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

Habari wana jf husika na mada tajwa hapo juu'
mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo nimebakiwa na milioni tatu.
mgawanyo wa millioni tatu katika ufugaji wa nguruwe ni kama ifuatavyo;
-1.8million nijenge rumu moja ambayo haitamalizika nikimaanisha sitoweka sakafu wala kupiga plaster ndani nitamwaga zege tuu pamoja na kuziba madirisha kwa mbao aina ya kuezeka nitalaza tu bati ,choo nitagongea kwa jirani kwa muda uku nikiendelea kujitafuta mdogo mdogo.
-laki 3 nitatumia katika kujenga mabanda kwani mbao ninazo nanitayajenga mwenyewe.
-laki 4 nitanunua nguruwe ambae yupo tayari kubeba mimba(dume na jike).
-laki moja na nusu nitatenga katika kuwahudumia upande wa chakula. na madawa.

mambo mengine nitakua najiongeza kwani nitakua bado napambana upande wapili.

idea ya pili ni diuka la mahitaji madogo madogo ya nyumbani
kwa upande wa duka nitawekeza millioni 2.3 tu
naombeni ushauri kwa wataalamu
FUGA SAMAKI
 
na biashsra tunayozungumzia hapa ni productions na sio uchuuzi thats y hao wamefanikiwa.
Sumry utajiri aliupata kupitia Biashara ya usafirishaji then ndio akaja kwenye kilimo
Waliofanikiwa kupitia Biashara
Reginald mengi
Mo dewji
Mohamed bakheresa
Abas gullamali
Joseph kusaga
Majizo wa E-fm
 
Habari wana jf husika na mada tajwa hapo juu'
mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo nimebakiwa na milioni tatu.
mgawanyo wa millioni tatu katika ufugaji wa nguruwe ni kama ifuatavyo;
-1.8million nijenge rumu moja ambayo haitamalizika nikimaanisha sitoweka sakafu wala kupiga plaster ndani nitamwaga zege tuu pamoja na kuziba madirisha kwa mbao aina ya kuezeka nitalaza tu bati ,choo nitagongea kwa jirani kwa muda uku nikiendelea kujitafuta mdogo mdogo.
-laki 3 nitatumia katika kujenga mabanda kwani mbao ninazo nanitayajenga mwenyewe.
-laki 4 nitanunua nguruwe ambae yupo tayari kubeba mimba(dume na jike).
-laki moja na nusu nitatenga katika kuwahudumia upande wa chakula. na madawa.

mambo mengine nitakua najiongeza kwani nitakua bado napambana upande wapili.

idea ya pili ni diuka la mahitaji madogo madogo ya nyumbani
kwa upande wa duka nitawekeza millioni 2.3 tu
naombeni ushauri kwa wataalamu
Inshallah Sheikh fuga Nguruwe. Wanalipa lakini angalia wateja huwa wakati wa mfungo wanapungua sana
 
shida ya nguruwe ni mavi yake kunuka, nadhani ndio mnyama anayenuka kuliko wote, pia, wapi napata chakula, pia, nikiwaangalia mara kwa mara nakosa hamu ya kula nyama yao, hivyo bora tu wengine wafuge mimi nitamwonea kwenye sahani tu.
 
habari za muda huu kutokana na kila mmoja kuonesha utofauti wa kifikra halmashauri ya ubongowangu umeona nibora usiwekeze popote hivyo ndugu wajumbe asanteni kwa ushiriki wenu msisite tena kurudi kwa thread zangu nyingine .
 
Mimi s
shida ya nguruwe ni mavi yake kunuka, nadhani ndio mnyama anayenuka kuliko wote, pia, wapi napata chakula, pia, nikiwaangalia mara kwa mara nakosa hamu ya kula nyama yao, hivyo bora tu wengine wafuge mimi nitamwonea kwenye sahani tu.
Mimi sili nyama ya nguruwe ila naitaji kukuambia kinyesi Cha nguruwe ndo kinanuka na kinyesi Cha mnyama yoyote yule hata binadamu , hivyo ukikuta nguruwe ni wachafu maana yake mfugaji ndo mchafu akuna wanyama wa kufugwa ambao ni wasafi kama nguruwe coz wanajua hata sehemu ya kujisaidia na sehemu ya kulala.
 
Mifugo kama nguruwe, mbuzi, kuku au ng'ombe unatakiwa kufunga kilimo ufugaji. Ili kubalance maana nguruwe kama ulimi watakukosti chakula
 
Back
Top Bottom