Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

FUGA SAMAKI
 
na biashsra tunayozungumzia hapa ni productions na sio uchuuzi thats y hao wamefanikiwa.
Sumry utajiri aliupata kupitia Biashara ya usafirishaji then ndio akaja kwenye kilimo
Waliofanikiwa kupitia Biashara
Reginald mengi
Mo dewji
Mohamed bakheresa
Abas gullamali
Joseph kusaga
Majizo wa E-fm
 
Inshallah Sheikh fuga Nguruwe. Wanalipa lakini angalia wateja huwa wakati wa mfungo wanapungua sana
 
shida ya nguruwe ni mavi yake kunuka, nadhani ndio mnyama anayenuka kuliko wote, pia, wapi napata chakula, pia, nikiwaangalia mara kwa mara nakosa hamu ya kula nyama yao, hivyo bora tu wengine wafuge mimi nitamwonea kwenye sahani tu.
 
habari za muda huu kutokana na kila mmoja kuonesha utofauti wa kifikra halmashauri ya ubongowangu umeona nibora usiwekeze popote hivyo ndugu wajumbe asanteni kwa ushiriki wenu msisite tena kurudi kwa thread zangu nyingine .
 
Mimi s
shida ya nguruwe ni mavi yake kunuka, nadhani ndio mnyama anayenuka kuliko wote, pia, wapi napata chakula, pia, nikiwaangalia mara kwa mara nakosa hamu ya kula nyama yao, hivyo bora tu wengine wafuge mimi nitamwonea kwenye sahani tu.
Mimi sili nyama ya nguruwe ila naitaji kukuambia kinyesi Cha nguruwe ndo kinanuka na kinyesi Cha mnyama yoyote yule hata binadamu , hivyo ukikuta nguruwe ni wachafu maana yake mfugaji ndo mchafu akuna wanyama wa kufugwa ambao ni wasafi kama nguruwe coz wanajua hata sehemu ya kujisaidia na sehemu ya kulala.
 
Mifugo kama nguruwe, mbuzi, kuku au ng'ombe unatakiwa kufunga kilimo ufugaji. Ili kubalance maana nguruwe kama ulimi watakukosti chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…