Mheshimiwe sana wana JF.
Katika harakati zangu za kujiendeleza kimaisha nimejiwekeza kamshahara kangu wee mpaka kametimia mil 9.
Before nilikua na option moja tu niweke kakitimia ten em nikafanye masta Degree yangu palee posta.
Sasa limenijia wazo mbadala tena kwa kasi.
Nimeona bora nifanye biashara ya barber shop.kwa mtaji huu itanilipa.
Sasa nimebakia njia panda. Niende kuwekeza elimu ama nianze biashara? Msaada wako please.