Niwekeze wapi, Shule au Biashara?

Niwekeze wapi, Shule au Biashara?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Mheshimiwe sana wana JF.
Katika harakati zangu za kujiendeleza kimaisha nimejiwekeza kamshahara kangu wee mpaka kametimia mil 9.
Before nilikua na option moja tu niweke kakitimia ten em nikafanye masta Degree yangu palee posta.
Sasa limenijia wazo mbadala tena kwa kasi.
Nimeona bora nifanye biashara ya barber shop.kwa mtaji huu itanilipa.
Sasa nimebakia njia panda. Niende kuwekeza elimu ama nianze biashara? Msaada wako please.
 
Kama unae wa kukusaidia kimaisha kasome,ila kama hauna fanya biashara maana ukiamua kusoma araf pesa ikakuishia nan atakusaidia?
 
Mheshimiwe sana wana JF.
Katika harakati zangu za kujiendeleza kimaisha nimejiwekeza kamshahara kangu wee mpaka kametimia mil 9.
Before nilikua na option moja tu niweke kakitimia ten em nikafanye masta Degree yangu palee posta.
Sasa limenijia wazo mbadala tena kwa kasi.
Nimeona bora nifanye biashara ya barber shop.kwa mtaji huu itanilipa.
Sasa nimebakia njia panda. Niende kuwekeza elimu ama nianze biashara? Msaada wako please.

fanya biashara mkuu ila isiwe barber shop kwsbb huw znasumbua hao vinyoz huw sio waaminifu
 
shule ni investment nzuri sana though inaweza chukua muda mrefu hadi uje uone return yake.
biashara nayo si mbaya maana utakuwa unajiongezea kipato.
kama unafanya kazi mahali nakushauri hiyo hela ukasome zako masta. kama upo tu huna kazi fanya biashara.
 
Brother fanya biashara, return yake ukaitumie kwenye shule.
 
Back
Top Bottom