mboghomawe
Member
- Jul 5, 2015
- 7
- 4
Wadau naomba mnijuze madhara ya pilipili ikiwa unakula kupita kiasi maana naona kama nimeincreas sana na sijajua matokeo ninini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini hapo kwenye bluu?wadau naomba mnijuze madhara ya pilipili ikiwa unakula kupita kiasi maana naona kama nimeincreas sana na sijajua matokeo ninini!
Unamaanisha nini hapo kwenye bluu?
Kupenda kutuma tuma sana kama wahindi.
Una umri ganiHivi pilipili zinawaumizaga chooni kama zinavyonifanyia mimi.
buha ha ha h ahahaahahaa,JF buana,ni noma aisee!Kupenda kutuma tuma sana kama wahindi.