Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
N.B-mafikirio haya yamenijia baada ya ajira za walimu kuchelewa! na wahusika wanapoulzwa wanakuwa na majibu mengiiii. BORESHA AU KOSOA hoja na mawazo hayo na usisahau kuongezea
Yatatokea mapinduzi ya tuition center kwani wengi watajiajiri,