Niyawazayo kuhusu ajira za walimu kuanzia mwaka 2014/2015 na kuendelea

Niyawazayo kuhusu ajira za walimu kuanzia mwaka 2014/2015 na kuendelea

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
1.serikali haitaajiri tena walimu,badala yake itabidi wajitafutie wenyewe private. 2.wale wachache hasa wa sayansi watatakiwa kuandika barua wizarani ili waweze kuajiriwa serikalini. 3.walimu wa ngazi ya cheti watapata ajira kirahisi kwasababu ya urahisi wao(easy2carry) 4.hadhi ya kazi ya ualimu kuongezeka kwa sababu ya uadimu wake. Tupia namna uonavyo kuhusu ajira ya ualimu kwa miaka ijayo......
 
N.B-mafikirio haya yamenijia baada ya ajira za walimu kuchelewa! na wahusika wanapoulzwa wanakuwa na majibu mengiiii. BORESHA AU KOSOA hoja na mawazo hayo na usisahau kuongezea
 
N.B-mafikirio haya yamenijia baada ya ajira za walimu kuchelewa! na wahusika wanapoulzwa wanakuwa na majibu mengiiii. BORESHA AU KOSOA hoja na mawazo hayo na usisahau kuongezea

Wahusika Si Ndio Kama "baba Ako Mdogo?"
 
[QUOTE=allan clement,mi sio mhusika but baba mdogo ni muhusika,ile thread ya kwanza niliitoa baada ya yeye kunihakikishia!
 
Back
Top Bottom