Niyonzima apewa jezi namba 8 Yanga, mshahara wake Kagere akasome

Niyonzima apewa jezi namba 8 Yanga, mshahara wake Kagere akasome

Waoneeni huruma akina Ngasa na Yondani wameitumikia Yanga kwa mshahara kiduchu....
Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda ndugu Haruna Niyonzima amekubali kuvaa jezi namba 8 Badala ya jezi namba 55 kama ilivyo shauriwa na uongozi wa klabu ya Yanga na benchi la ufundi.

Ujio wa Haruna Niyonzima unatajwa kama usajili ghari kufanywa na Yanga na klabu za Tanzania .

Niyonzima anatarajiwa kuvuta mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote yule anayecheza ligi kuu ya soka nchini Tanzania huku akimzidi mnyarwanda mwenzake Medi Kagere wa Simba kwa zaidi ya shilingi milioni 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yote ni kujitahidi kuficha aibu ya tarehe 4 ili jezi za alizeti ziuzike zaidi.Basi sawa ila kumbukeni kuna jela na guest(Mishahara na malumbano baadae).
 
Ili kupata vichekesho vingine kama hiki , tunatuma neno "VICHEKESHO" kwenda namba ngapi vile? Maana nimeisahau.
 
Back
Top Bottom