Hahahaaahuyuayuiiyuipooyupoosanamkuuubaki na man u yakooo tu ondoa stress@Shadeeya mpaka huyo mnyarwanda aondoke ndo ntarudi. Nawatakia mafanikio mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda ndugu Haruna Niyonzima amekubali kuvaa jezi namba 8 Badala ya jezi namba 55 kama ilivyo shauriwa na uongozi wa klabu ya Yanga na benchi la ufundi.
Ujio wa Haruna Niyonzima unatajwa kama usajili ghari kufanywa na Yanga na klabu za Tanzania .
Niyonzima anatarajiwa kuvuta mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote yule anayecheza ligi kuu ya soka nchini Tanzania huku akimzidi mnyarwanda mwenzake Medi Kagere wa Simba kwa zaidi ya shilingi milioni 6.
Analipa Mo
MPWA HAPO NDIPO UTAELEWA KWA NN POGBA ANAAMA MAN U OOH UWANJAN UCHEZI MWENYEWE WEWE WA GHALI CHUTAMAWaoneeni huruma akina Ngasa na Yondani wameitumikia Yanga kwa mshahara kiduchu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakianza kudai maslahi yao msianze kulia lia.Alisikia shabiki mmoja wa 5imba nguvu moja asiyeitakia mema timu ya Wananchi. [emoji41]
Soon tutakaa sawa Mkuu hivyo yako mbioni kwisha.Wakianza kudai maslahi yao msianze kulia lia.
Habar zenu za Mbeya tunazo.
Sent using Jamii Forums mobile app