Wacha kichaa...mashabiki wa Yanga na ustaarabu wao si wa kufanya vurugu za kipumbavu.View attachment 560129
Kiungo Haruna Niyonzima ametua Dar usiku na taarifa za ndani zinasema baadhi ya mashabiki wa Yanga walikuwa wanamsubiria kumfanyia vurugu. Jamaa unaambiwa aliwakwepa na kuwaacha kwenye mataa.
Niyonzima sasa yuko tayari kujiunga na kikosi baada ya kuwasili usiku.
Niyonzima ambaye aliendelea kubaki kwao Kigali amewasili na kupokelewa na viongozi wa Msimbazi tayari kuanza kazi.
Nguvu zote zinaelekezwa kwa Simba ni kesho kwenye Tamasha la Simba Day wakati atakapotambulishwa rasmi.
Mabadiliko aliyoshindwa Ngassa kuyaleta kipindi anasaini Simba Sc? Hahahahaha.
Masikini anaonekana hana amani
Kabeba mtoto kama kinga, si umeambiwa mishabiki ya yanga ilienda kuleta fujo? Wee uliluwapo pia bila shaka.Umeona ehhh? Amejaa hofu moyoni mwake. Kama utakuwa umewahi kusoma psychology utagundua kwanini Jamaa amebeba mtoto akiwasili Airport.
Baadhi ya washabiki wa Yanga fc hawana uvumilivu, wangeweza kumfanyanjia fujo kabisa.Kabeba mtoto kama kinga, si umeambiwa mishabiki ya yanga ilienda kuleta fujo? Wee uliluwapo pia bila shaka.
Hivi anaondoka msuva alafu unaleta ngassa, kweli!
Na huwezi jua, msuva asilimia kubwa halinya hewa ikikaa vibaya huko anakuja simba, huku ndo utakuwa mlango wake wa kwenda ulaya.
Mkuu umenena vyema kwa kusema 'baadhi ya washabiki wa Yanga' maana siyo wote.Baadhi ya washabiki wa Yanga fc hawana uvumilivu, wangeweza kumfanyanjia fujo kabisa.
Kuna siku niliwakuta mtaani wakichoma jezi za Niyonzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena vyema kwa kusema 'baadhi ya washabiki wa Yanga' maana siyo wote.
Nawaomba kama kuna mashabiki wenzangu wa Yanga wanafikiria kumfanyia fujo Niyonzima waache tafadhali. Mchezaji anafanya biashara ya mpira. Mguu wake ndiyo chanzo cha mapato yake. Tumuache Niyonzima acheze kwa watani zenu. Hata Okwi aliwahi kucheza Jangwani japo upande wa pili walinuna lakini hawakumfanyia vurugu. Mchezaji si mwanachama wa Klabu, sisi tubaki na Klabu yetu, mchezaji yeyote anayetaka kuondoka Yanga apewe haki hiyo.
Niyonzima amefanya uamuzi wake ambao umetokana na haki ya binadamu yeyote kufanya uamuzi. Yanga ilianzishwa miaka mingi bila Niyonzima na timu iliendelea kutesa tu uwanjani. Tunamshukuru kipindi chake Yanga imeendelea kutesa tu uwanjani na hata bila yeye Yanga itaendelea kutesa tu.
Kabla Niyonzima hajakuwepo, Yanga ipo. Chonde chonde wana Yanga wenzangu, tuachaneni na Niyonzima, ashindwe mwenyewe tu kucheza mpira.
Kila la heri Haruna Niyonzima, asante sana kwa huduma yako ya miaka 6 Jangwani.
Tutakukumbuka kama 'mhenga' uliyekuwepo uwanjani wakati tunachapwa 5-0.
Kama alijua anapotezewa muda si angeshaondoka siku zoooteSasa Niyonzima ndo anaweza akatakiwa na timu za ulaya, yuko eneo sahihi! Hajachelewa, yanga wamempotezea sana muda.
Mlimpiga misumari ndo maana alishindwa ondoka!Kama alijua anapotezewa muda si angeshaondoka siku zooote