Niyonzima atua Dar, sasa yuko tayari kuanza kazi na kikosi cha Simba SC

Nashangaa sana Simba kujinasibu na Ulaya..Yanga wamemtoa Nonda shabani hadi kucheza Monaco..huyo Samatta anacheza ligi ndogo sana Ulaya..akiweza kucheza.England.Italy.Spain.Germany na France rudini hapa mjisifie..kitimu chenyewe Genk kinatoka pembezoni kama kigoma ..
Nonda mlimuuza Sh. ngapi vile????
Cc.Bakari Malima
Cc. Vaal Professional

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa sana Simba kujinasibu na Ulaya..Yanga wamemtoa Nonda shabani hadi kucheza Monaco..huyo Samatta anacheza ligi ndogo sana Ulaya..akiweza kucheza.England.Italy.Spain.Germany na France rudini hapa mjisifie..kitimu chenyewe Genk kinatoka pembezoni kama kigoma ..
Nikikuuliza hata nonda alikua raia wa nchi gan hutajua..alikaa pale yanga wiki ngap utafikicha mimacho..mlimuuza bei gan ndo haswaa utajamba jamba tuu..wewe c mhenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie Yanga kama mnampenda sana Niyonzima mkuteni kitandani kwake, sio huku mitandaoni
 
Back
Top Bottom