py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Kiungo aliyesajiliwa kwa mbwembwe na klabu ya simba fadhil Hakizimana Niyonzima katika hali ya kushangaza alivyokuwa anahojiwa mubashara aliwaita mashabiki wa simba wapumbavu ,na kusema mashabiki wa simba wanahoji vitu vya kipumbavu na Niyonzima alizidi kuserereka na kusema ni upumbavu mkubwa kwa mashabiki wa simba kuniuliza kwanini ninazo jezi za yanga ,yanga ni klabu ninayoipenda tumepeana talaka lakini kuna vitu navimiss bado kutoka yanga .
Ndugu zanguni wana simba chonde chonde ukimuona Niyonzima kavaa jezi ya yanga usiende kumuuliza swali la kipumbavu kwa namna alivyotoa povu la hasira kwenye video utasababisha ujikute ICU na kuwapa shida familia yako na mashabiki wa simba wakuchangie pesa ya matabibu