Niyonzima awaita mashabiki wa simba wapumbavu ,asema bado kuna vitu ana vimiss kutoka yanga

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kiungo aliyesajiliwa kwa mbwembwe na klabu ya simba fadhil Hakizimana Niyonzima katika hali ya kushangaza alivyokuwa anahojiwa mubashara aliwaita mashabiki wa simba wapumbavu ,na kusema mashabiki wa simba wanahoji vitu vya kipumbavu na Niyonzima alizidi kuserereka na kusema ni upumbavu mkubwa kwa mashabiki wa simba kuniuliza kwanini ninazo jezi za yanga ,yanga ni klabu ninayoipenda tumepeana talaka lakini kuna vitu navimiss bado kutoka yanga .

Ndugu zanguni wana simba chonde chonde ukimuona Niyonzima kavaa jezi ya yanga usiende kumuuliza swali la kipumbavu kwa namna alivyotoa povu la hasira kwenye video utasababisha ujikute ICU na kuwapa shida familia yako na mashabiki wa simba wakuchangie pesa ya matabibu
 
Kimsing ni wachezaji wachache sana wanaoweza kumaintain performance zao baada ya swtch kwa mshindani wa jadi....
 
Mpumbavu ni yeye aliyetoroka kwao Rwanda kuja kuhemea bongo...kama sio hela za simba saizi si angekuwa kwao misituni huko anapambana na ba mutu ba banyamulenge?
Kwao anaitwa International Player. Simba wanamlipa millions ambazo wewe hunazo.
Kiasi hicho cha fedha kinamfanya aishi vizuri.
Halali njaa. Mpira ni KAZI.
Anaimiss Yanga. Huko Simba kaja kufanya KAZI.
Jezi za yanga ni zake. Medali alizopata akiwa yanga ni'"archives' kwake.
 
Anacheza timu ya taifa ya Rwanda? Mchezaji yeyote mwenye kiwango cha kawaida huwa anaongea sana. Vikombe vyoote alivyobeba ni vya sido sifa za nini mbona Tukuyu Stars iliwahi kuwa bingwa. Eti bingwa premier league Tanzania halafu unaweka kumbukumbu.
 
Hicho unasem ww hakun mahal amesem mashabik wa simba wapumbavu
 
Anacheza timu ya taifa ya Rwanda? Mchezaji yeyote mwenye kiwango cha kawaida huwa anaongea sana. Vikombe vyoote alivyobeba ni vya sido sifa za nini mbona Tukuyu Stars iliwahi kuwa bingwa. Eti bingwa premier league Tanzania halafu unaweka kumbukumbu.

Huo ubingwa wa PL Tanzania kuna timu inausaka kwa tochi msimu wa tano (5) na wanaambulia patupu ukitaka kuona umuhimu wa ndoo ya VPL waulize watoto wa Haji Manara mara nyingi wanamwaga povu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwao anaitwa International Player. Simba wanamlipa millions ambazo wewe hunazo.
Kiasi hicho cha fedha kinamfanya aishi vizuri.
Halali njaa. Mpira ni KAZI.
Anaimiss Yanga. Huko Simba kaja kufanya KAZI.
Jezi za yanga ni zake. Medali alizopata akiwa yanga ni'"archives' kwake.
Kama ana miss mwambie arudi yanga. Kiroho safi kabisa!
 
Labda kama kuna video nyingine , sajaona hayo matusi uliyoandika mtoa mada kwa kweli
 
Sasa hapo mpumbavu nani kati yako na yeye,,katoka porini kaja mjini kutafuta hela wewe una mwita mpumbavu,,
Unatakiwa uwe na nidham kwa wanaokupa kula,hatuwezi kuwa tunazunguka kutafuta ridhiki kisha wakati huo huo tukawa tunadharauliana!awe na hekma.
 
Kiungo aliyesajiliwa kwa mbwembwe na klabu ya simba fadhil Hakizimana Niyonzima katika hali ya kushangaza alivyokuwa anahojiwa mubashara aliwaita mashabiki wa simba wapumbavu ,na kusema mashabiki wa simba wanahoji vitu vya kipumbavu na Niyonzima alizidi kuserereka na kusema ni upumbavu mkubwa kwa mashabiki wa simba kuniuliza kwanini ninazo jezi za yanga ,yanga ni klabu ninayoipenda tumepeana talaka lakini kuna vitu navimiss bado kutoka yanga .

Ndugu zanguni wana simba chonde chonde ukimuona Niyonzima kavaa jezi ya yanga usiende kumuuliza swali la kipumbavu kwa namna alivyotoa povu la hasira kwenye video utasababisha ujikute ICU na kuwapa shida familia yako na mashabiki wa simba wakuchangie pesa ya matabibu

Young Africans Daima Mbele Nyuma Mwiko.
 
Huyu mnyarwanda mfupi hivi ametoka wapi? Au ndio kachanganya damu.
 
Hakuna kibaya alichoongea yupo sawa tu. Yeye ni kama mfanyakazi tu anatafuta maslahi . Ushabiki ni wetu sisi yeye haumuhusu .
 
Mpumbavu ni yeye aliyetoroka kwao Rwanda kuja kuhemea bongo...kama sio hela za simba saizi si angekuwa kwao misituni huko anapambana na ba mutu ba banyamulenge?
Basi mkuu wewe unayetoa maoni kimapovu bila kuona video utakuwa mpumbavu kweli. Tazama video,unategemea mtu mwenye akiri timamu aseme aliyoandika shabiki wa Yanga hapo juu. Hiyo kamlisha maneno.
 
Back
Top Bottom