Niyonzima awaita mashabiki wa simba wapumbavu ,asema bado kuna vitu ana vimiss kutoka yanga

Kuweka kumbukumbu sawa, Simba ni mbumbumbu na hili tuneambiwa na aliyekuwa mwenyekiti wao.
 
Kwa wale waliooa haishangai mkeo kukukashifu mchana wakati usiku anakupa mambo matamu.
Tunamshukuru kwa kuendelea kuchangia Simba kuongoza ligi tena kwa pointi magoli mengi kuliko Wavuvi wa Kambale FC.
 
Anacheza timu ya taifa ya Rwanda? Mchezaji yeyote mwenye kiwango cha kawaida huwa anaongea sana. Vikombe vyoote alivyobeba ni vya sido sifa za nini mbona Tukuyu Stars iliwahi kuwa bingwa. Eti bingwa premier league Tanzania halafu unaweka kumbukumbu.
Hiyo premier league unayoiponda si ndio hiyo hiyo mpk leo mnasubiria majibu ya fifa ili mkabidhiwe ubingwa wa msimu uliopita!
 
Tatizo wabongo mmekalia umbea na uchonganishi tu.....!!! Mbona kaongea kawaida to kulingana na alivyoulizwa swali.....acheni kutengeza maneno.
 
Niyo, Baelese mambumbumbu labuta bataelewa
 
Kwa wale waliooa haishangai mkeo kukukashifu mchana wakati usiku anakupa mambo matamu.
Tunamshukuru kwa kuendelea kuchangia Simba kuongoza ligi tena kwa pointi magoli mengi kuliko Wavuvi wa Kambale FC.
tutaonana mwisho wa msimu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…