Niyonzima kusababisha simba apokonywe point

Niyonzima kusababisha simba apokonywe point

Yeboyebo Fc mmeanza sababu pakutokea, leo hawamsemi refa mnatokea na kadi nyekundu ya Niozima
 
Anaruhusiwa adhabu yake ilikuwa inahusisha mechi mbili kwa sababu hakupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja badala yake alipewa kadi moja ya njano na nyekundu,na kukosa mechi ya Jkt Tanzania na ya Mbeya city.
Mtani uko fasta naona umenyoosha maneno. 😅😅😅
 
Back
Top Bottom