Hammy Trafford
Member
- Aug 19, 2018
- 43
- 76
Naombeni ufafanuzi zaid wa kisheria ni kweli anaruhusiwa leo kucheza!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaruhusiwa adhabu yake ilikuwa inahusisha mechi mbili kwa sababu hakupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja badala yake alipewa kadi moja ya njano na nyekundu,na kukosa mechi ya Jkt Tanzania na ya Mbeya city.
Sheria ya mpira wa miguu ...jibu ni ndiyooooooNaombeni ufafanuzi zaid wa kisheria ni kweli anaruhusiwa leo kucheza!!
Mtani uko fasta naona umenyoosha maneno. 😅😅😅Anaruhusiwa adhabu yake ilikuwa inahusisha mechi mbili kwa sababu hakupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja badala yake alipewa kadi moja ya njano na nyekundu,na kukosa mechi ya Jkt Tanzania na ya Mbeya city.