Hammy Trafford
Member
- Aug 19, 2018
- 43
- 76
Anaruhusiwa adhabu yake ilikuwa inahusisha mechi mbili kwa sababu hakupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja badala yake alipewa kadi moja ya njano na nyekundu,na kukosa mechi ya Jkt Tanzania na ya Mbeya city.
Sheria ya mpira wa miguu ...jibu ni ndiyooooooNaombeni ufafanuzi zaid wa kisheria ni kweli anaruhusiwa leo kucheza!!
Mtani uko fasta naona umenyoosha maneno. π π πAnaruhusiwa adhabu yake ilikuwa inahusisha mechi mbili kwa sababu hakupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja badala yake alipewa kadi moja ya njano na nyekundu,na kukosa mechi ya Jkt Tanzania na ya Mbeya city.