Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Eti eee.
Hivi ule mpira mliouonyesha jana pia mnapoteza muda kujisifia. Mana kwa zile mbwembwe za usajili ni tofauti kabisa na kiwango chenu cha jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti eee.
Ndo nlichokua nasubiri kutoka kwenu mtani huwaga hamuishiwagi cha kusema Simba Sc ikichezaRayon B ..kikosi cha kwanza wameitwa wachezaji wanane Timu ya Taifa..ni makosa kusajili wachezaji wengi kutoka timu moja...kichuya.nduda.mo.mzamiru.mbonde.shomari. Na Azam..Boko.kapombe.Manula.Nyoni...na mkude. na wezake wakina Ndemla..kundi lingine mastar wageni..Niyo na Okwi etc..tegemea mpasuko
Kweli kabisa niyonzima anaota ndoto za mchana.
tarehe 23 sio mbali sana.Eti eee.
Hivi ule mpira mliouonyesha jana pia mnapoteza muda kujisifia. Mana kwa zile mbwembwe za usajili ni tofauti kabisa na kiwango chenu cha jana.
Azam.Simba.Mtibwa..timu tatu zimejiunga pamoja ili kutwaa ubingwa..kazi ipoNdo nlichokua nasubiri kutoka kwenu mtani huwaga hamuishiwagi cha kusema Simba Sc ikicheza
debude. ...........
Msiudhike mm nimeskiza yle mahojiano youtube hajaongea anayoyasema mtoa mada ila aliulizwa endapo atafunga goli dhidi ya yanga atashangilia? akajibu "nitafurahia ila kwa heshma ili niwaage vzr na km itatokea nitafunga itakuwa ktu kizuri"Mi nimekuzidi kuudhika mkuu badala awaze namna ya kuipa timu yake ubingwa kakalia kuifunga yanga.
Mmmxxxiiuuu