Niyonzima: Natamani niwafunge Yanga

Huo ndo mpira wa Tanzania, na ameshajua akili zetu zilivyo.. akishamfunga yanga anakua amemaliza kazi yake, hana deni tena.
 
Rayon B ..kikosi cha kwanza wameitwa wachezaji wanane Timu ya Taifa..ni makosa kusajili wachezaji wengi kutoka timu moja...kichuya.nduda.mo.mzamiru.mbonde.shomari. Na Azam..Boko.kapombe.Manula.Nyoni...na mkude. na wezake wakina Ndemla..kundi lingine mastar wageni..Niyo na Okwi etc..tegemea mpasuko
 
Ndo nlichokua nasubiri kutoka kwenu mtani huwaga hamuishiwagi cha kusema Simba Sc ikicheza
 
Majibu ya Niyonzima yalitokana na maswali elekezi ya waandishi wetu wa habari za michezo ambao Uwezo wao wa kujenga na kuuliza swali in Mdogo mno.
-eti ukifunga goli Siku ya Yanga vs simba utashangilia?
Hili in swali mfu c&p
 
Mi nimekuzidi kuudhika mkuu badala awaze namna ya kuipa timu yake ubingwa kakalia kuifunga yanga.

Mmmxxxiiuuu
Msiudhike mm nimeskiza yle mahojiano youtube hajaongea anayoyasema mtoa mada ila aliulizwa endapo atafunga goli dhidi ya yanga atashangilia? akajibu "nitafurahia ila kwa heshma ili niwaage vzr na km itatokea nitafunga itakuwa ktu kizuri"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…