Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Na mapenzi MotoooMatokeo yanapogeuka kuwa kweli
yu mjanja kushinda nimjuavyo huyu tapeli
Mpenzi nikila nae dinner anatabasamu lake huficha upuuzi wake nyuma
alisema nakupenda nyingi zikalevya kiasi akihoa ninatemaaaaaa
Kipato changu kidogo dogo kinaishia kwakeeeeee
Kukosa penzi lako naona Ka ni ndoto
Nisingependa ku share na mtu penzi lako
Unieleze nimekukoseaga niiiiiini?...
Da
Mica anasema si umwache aende...
Nimwachie aende?