Nizingatie nini katika kununua TV?

Nizingatie nini katika kununua TV?

Pagani Zonda

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
685
Reaction score
468
Wakuu habari za muda huu? Nataka kununua Tv lakini sijui nizingatie nini katika kununua, ukizingatia sijawahi kununua Tv kabla.
Pia naomba tofauti kati ya android na smart Tv ipi ni bora kwa uzoefu wenu?
Na pia nichukue brand gani ambayo ni nzuri?
Quote
 
Uchumi wako tu na kitu roho inapenda.

Brand nzuri ni TCl, hisense, na Samsung.

Bei hisense inch 43 = Tsh 670,000.
Inch 58 = 1300000
Inch 65 = 1,600,000
 
Back
Top Bottom