Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Wabongo kwa kutishanaKama unataka uhakika wa safari zako bila kutumia muda mwingi garage nunua mjapan hasa hasa Toyota..
Kama unataka kuvimba mjini (japo kwa spana mkononi) na kibunda unacho basi tafuta european moja hivi, kuna bmw, range, VW, benz gwagon n.k..
Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri
Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute
NISHTUENI WAZEE