A video circulating online has sparked debate after COTU Secretary-General Francis Atwoli was confronted by a fellow passenger while seated in the business class section of an airplane.
Kwa video hiyo, mwanaume anamwambia Atwoli kuwa Wakenya wengi wanateseka na njaa, huku akionekana kuhoji jinsi viongozi wanavyoendelea kusafiri kwa luxury wakati wananchi wanakumbwa na high cost of living.
Akijibu, Atwoli alisema:
"Hunger is everywhere."
Jibu hilo limezua mixed reactions online. Wengine wanasema Atwoli alikuwa akimaanisha kuwa tatizo la njaa ni la dunia nzima na sio Kenya pekee, while others argue that the response failed to address the concerns raised by ordinary Kenyans struggling with the rising