Mungu amsaidie apate kibarua chochote halali IJN!
Hata mboga mboga tu nyanya inaitaji hela.Lima nyanya, horticulture utapiga hela
Pole sanaNdugu wanaJF naomba Kwa yoyote kama Kuna nafasi ya kazi yoyote halali professional au unprofessional anisaidie nipo Kahama umri 32 nimeoa na elimi yangu ni Diploma in General Agriculture 0664984110.
Mkuu mpunga gunia bei gani sahivi?Sogea hapa Nzega tuvune mpunga