Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
mkuu kina nani hao wanopiga makelele alfajir?
Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Leo kuwa macho ikifika saa kumi na moja alfajiri utawasikia Tu na spika zao .mkuu kina nani hao wanopiga makelele alfajir?
Wananikeraga sana wale mabokoharamTunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Takbih!Kuna hawa walokole na maspika makubwa na mapambio juu wanakera balaa kuna siku hua natamani nihame mtaaa kuna makanisa ka matatu mi shida
mimi hawa jamaa wanaopiga kengele, ma-speaker, na jinsi wanavyopiga kelele huko ibadani(wanapiga kelele utafikiri wamebakwa au wanapandishaga kichaa) hua inanikera sanaTunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
vip kuhusu kengele, ma-speaker makubwa, kuimba kwa kulia, kupiga kelele, kupiga vigelegele..au umezoea mfumo flani.. au ndio unafikiri kwa kutumia tundu linalotolea uchafu mkubwa wa mwili.. jipime..Wananikeraga sana wale mabokoharam
Hili swala la kuzuia muvi za nje ni upuuzi, hawa waigizaji wa bongo muvi hawajielewi kabisaaaa....wao wameshapata target market Yao i.e house girls, wanawake wa uswahili, abiria wa mabasi wanaolazimishwa kuangalia coz hawana choice....ni vyema waendelee kuwaridhisha hao wateja wao....binafsi sitatoa hata sh.10 yangu kununua kazi ya mbongo muvi yeyote...mpaka watakapojua wanachohitaji, wanachokosa, na uwezo wao (SWOT). Nitaendelea kununua na kustream muvi ambazo zina thamani ya Muda na pesa yangu. Specifically from Hollywood. Wanafki wakubwa hawa.Ni baada ya Mr Makonda kusema mwisho wa kupiga mziki kwenye kumbi za wazi ni saa sita usiku badala ya saa tisa kama ilivozoeleka
hili ni balaa kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab, Hapa Kazi Tu
Ombi langu pia kwa mheshimiwa Makonda asisahau na alichoombwa na wabongo movie kuzuia movie za nje zisitazamwe dar es salaam ili kuongeza uzalendo wa filamu zetu za nyumbani
Hapa kazi tu
Nimefurahi, asiwasahau na wale wanaokesha kwa mikelele kwa kisingizio cha bwana. Hamna kuitana watoto wa waganga.Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?