Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Au wale ambao jpili wanatupigia makelele kama tupo shuleni na mikengele yao utazan omba ombaTunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?