Njaa kali inakuja kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab

Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Au wale ambao jpili wanatupigia makelele kama tupo shuleni na mikengele yao utazan omba omba
 
Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Wale wanaolazimisha watu waamke kumtafuta muumba wao sijui,bullshit
 
NAOMBA ASIINGILIE SOCIAL LIFE KWANI SEKTA YA BAR,CLUB ZIMEAJIRI WATU WENGI SANA NA PIA NI NJIA YA WATU MBALIMBALI KUTAFAKARI JUU YA MAISHA YAO NA KUSTAREHESHA NAFSI ZAO.
*MIJI YOTE DUNIANI HILI LIPO!
We lofa nini kwahiyo tulale macho kwasababu watu wameajiriwa?starehe tuu ndo utulaze macho?idiot
 
vip kuhusu kengele, ma-speaker makubwa, kuimba kwa kulia, kupiga kelele, kupiga vigelegele..au umezoea mfumo flani.. au ndio unafikiri kwa kutumia tundu linalotolea uchafu mkubwa wa mwili.. jipime..
Hawafanyi usiku wala maalfajiri kama bokoharam
 
makonda anakurupuka,,,bar unatakiwa ulipe wafanyakazi ,ulipie gharama nyingine za uendashaji,,,halafu mda wa kufungua ni saa 7 hivi hapo ukiniwekea limitation nina earn nini sasa
Kwabiashara yako tulale macho?nikianzisha yanguvpembeni ya bar yako utafanya hiyo biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…