Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

Abbassalum

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2016
Posts
338
Reaction score
176
Kuna taarifa kutoka liwale mkoani lindi wamekumbwa na balaa la njaa, mpaka wanashindia mizizi poli, chanzo azam tv lakini mpaka sasa kitengo cha maafa kutoka of is I ya waziri mkuu awajathibitisha...!!
 
Mkuu wa wilaya kesho hana kazi kwa kusema uongo, njaa mkuu bado hajatangaza,.
 
Njaa inaanzia dar, then inafuata mikoani.
 
Wameonesha mboga unasema njaa kali, mnajua njaa kali nyie au njaa njaaaaa ikoje haswa?
 
Wameonesha mboga unasema njaa kali, mnajua njaa kali nyie au njaa njaaaaa ikoje haswa?
Kuna pic mchanganyiko hapo angalia izo zingine utamkuta mama hapo, chakula chake anakiandaa, sasa sijui ndio iyo mizizi, angalia vizuri mkuu..
 
Kwa nini usiuze flat screen yako, ili uwapelekee chakula?
Bado mahitaji kwao ni makubwa mkuu, tv ata nikiuza aiwezi ikasaidia, inaitajika na wewe, pia ujitolee kuokoa ili balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…